ukienda ukweni kwa mara ya kwanza wakwe wasikuulize swali hili 'Baba unajishuhulisha na nn?? ujue faili lako wanalo zamaaan
-
sio dhambi kuishi na mtu usiyempenda ila ni dhambi kumnyima anachokitaka usiye mpenda...
-
hivi kwa nini nyumba nzuri ndio zinakuwa na mlango mkubwa???!!
Elewa swali tafadhali...-
Jambo baya zaidi watu wanaweza kufanya ni kutomshukuru Mwenyezi Mungu baada ya yeye kujibu dua zao. Siku zote mshukuru Mwenyezi Mungu bila kujali uko katika hali gani, jihadhari usije ukamsahau Mwenyezi Mungu mambo yanapokwenda vizur. Uwe mwaminifu na ujue kwamba Mwenyezi Mungu anaweza kila kitu๐๐๐
-
mtu akisema anakupenda sio kama hajaona mwengine,ni heshima na thamani amekupa, basi na wewe mpe thamani yake na upendo sio dharau
-
unapofeli kama utakuwa na akili timamu basi utajifunza
kupitia makosa yako na kisha
utafanya tena kwa namna
nyengine sio kukata
TAMAA-
maumivu ya muda mfupi
huwa ni zao la furaha ya
muda mrefu
usichoke kuvumilia
-
usidanganyike na muonekano wa nje
au yale mazungumzo ya mwanzo
kila mtu huwa mstaarabu siku za mwanzo hata kwa wale wabaya kuwa muangalifu-
amini usiamini dada ni mama wapili hapa duniani atakusumbua na kukuonea, lakini hatoruhusu mtu akudhuru, kwani daima anakupenda kimy kimya๐๐
-
jitahidi kuongea ukweli
kila unapo nyanyua
ulimi wako kuzungumza lakini chunga maneno yako sababu sio kila ukweli unapaswa kuzungumzwa๐๐๐-