Kuwa na kipaji usichokitumia ni sawa na kuwasha taa na kuifunika isiangaze mwanga alafu wewe ukabaki na giza
Vipaji vinatulea-
Usitoe maamuzi pindi ushikwapo na hasira calm down ili uongee yenye maana
Vipaji vinatulea-
Wengi tunamawazo yanayoweza kutufanya kuwa mabilionare but tunashindwa jinsi ya kuyawakilishaa........we must learn
-
Furaha ikija iache ije coz ukiizuia huwezi jua ni lini tena itaonekana katika maisha yako
Vipaji vinatulea-
Jifunze Kukaa kimya
Watu wengi hatufanikiwi mambo yetu kwasababu tunayatangaza kwa watu wasiyo sahihi kwetu Kabla hayajatimia
Vipaji vinatulea-
Kutokana na marafiki unaweza kusonga mbele katika malengo au kurudi nyuma jitahidi kuchagua marafiki wazuri..
-
Kutokana na marafiki unaweza kusonga mbele katika malengo au kurudi nyuma jitahidi kuchagua marafiki wazuri..
-
Kila mtu anakusudi la kuwepo chini ya jua..........
Vipaji vinatulea-
Kila mtu ana fungu lake chini ya jua lakini mwisho wa kufight ni siku ya pumzii ya mwisho...........usiridhike kwa life uliyonayo but usitamani ya mwenzio
Vipaji vinatulea-
Usipoweza kutoa katika kidogo ulichonacho hutoweza kutoa hata ukijaaliwa kikubwa
Vipaji vinatulea-