Uaminifu,upole na ukweli katika mapenzi ni mwokozi wa matatizo ya Penzi lako,
Hakika ya Penzi la uchororoni halidumu na huachwa katikati ya njia panda ya uchochoro huo.- MshairiMpole
2 NOV 2019 AT 12:33