10 NOV 2019 AT 14:46

Ujinga kwenye mahusiano ni pale mtu unapojifanya kumtegea mwenzako awe wa kwanza kukufuta alafu ukiona kimya unaanza kuteseka moyoni; wakati uwezo wa kumtafuta hata wewe unao

-