A family that prays together stays together and love each other just as God loves each of them. There's no family without prayers; and the devil's mission is to separate the family from communion with God before breaking it apart.
-
Ukitaka kufanikiwa eneo la ofisi au biashara, kuwa makini au epuka kabisa hawa watu:
1. Ndugu
2. Marafiki
3. Majirani
Wengi wao hawapendi kutoa "support" badala yake ni wakwamishaji wakubwa.-
(Ref. Hesabu 21:8-9)
Kwetu sisi Yesu aliinuliwa msalabani ili kila amtazamae apate kupona. Haijalishi ni jambo gani linakua kikwazo kwako, usipoteze muda wako kuwaza maumivu unayopitia. Mtazame Yesu na usikilize nini Mungu anasema kupitia vinywa vya watumishi aliowaita kwa ajili ya kazi yake. Utaona maajabu usiyowahi kutarajia-
Wivu wa kumchukia mtu aliekuzidi haukuongezei chochote zaidi ya kukushusha tu.
Ile kukubali kuwa fulani kakuzidi jambo na ukajifunza toka kwake inakufanya kuwa bora au hata kumzidi yeye. Tatizo wengi hawaelewi chuki ndo chanzo cha wao kutosonga mbele
Roho mbaya itakufanya ujilaani siku hadi siku wakati yule unaemchukia bila sababu anazidi kubarikiwa kila uchwao.-
HAPPY TEACHERS' DAY.
Teaching is the only profession that creates all professions, a teacher affects eternity; he can never tell where his influence stops because the art of teaching is the art of assisting discovery.-
The worst disappointment in life is that the more you practise righteousness and try to follow straight paths, the more unfair treatment becomes your payback.
-
2 Chronicles 1:7-12
As per respect of the Bible verses above, people make the best circumstances of their future by effects of their actions upon others thereof wisdom and knowledge being the master keys to every door of prosperity.-
TANGAZO* TANGAZO* TANGAZO*
Hii ni kwako wewe mzazi, mlezi, mwalimu au mdau yeyote wa elimu ambae unajiuliza ni wapi utapata vitabu au mitihani ya kumpima mwanao kipindi hiki cha likizo na hata baada ya likizo.
Kwa gharama nafuu sana jipatie vitabu vya masomo yote ya mtaala wa sasa unaotumika mashuleni, kwa ngazi zote kuanzia msingi hadi sekondari. Vitabu hivi na mitihani ni soft copies, ambapo mwanao anaweza kusoma kwa kutumia simu, tablet yako au hata computer. Kwa mawasiliano na taarifa zaidi, tuwasiliane kupitia simu namba 0622 490 452-
Mwanamke mwema siku hz kukutana nae kirahisi ni kazi mno. Wakati mwingine inabidi ukamchukue kutoka mikononi mwa mjinga mjinga asiejua thamani ya alicho nacho.
-