Ridhiki ya mtu hupangwa na Mungu; haihawilishwi, haikawilishwi: iliyo ya mja hupata mja.
-
📖Personal hashtag #usiisahaujanayako #maishaniwatu
🛅�... read more
The more worrying you do about a matter that is bothering you, the less likely you will come up with a satisfying solution. Try not to see a problem as a threat. See it instead as a creative challenge. You are savvy enough to come up with a way to deal with something that is now perplexing you, but you need to do so from a position of a calm state of mind.
-
You may be afraid to even dare to dream on possibilities! God knows what you need, and sometimes good things come to you when you are afraid to believe they are possible. Dare to dream.
-
You may be afraid to even dare to dream that a certain thing is possible in your life - let alone believe that it really is possible. But if you can't take that first step of dreaming about what you want without worrying that you shouldn't be fantasizing, then how can you ever expect to get it?
-
Naisihi nafsi yangu:
"Ee nafsi uache kunitengenezea picha za sanaa."
Nayaonya na macho yangu:
"Ee macho yangu, uache kuniigizia."
Najiusia na mimi:
"niache maisha ya maigizo,
kwani dunia ni uwanja wa mapambano!
Nipambane, kwa jasho na damu!"-
MAISHA NI WATU....Unaizungumziaje hii? Unaielewaje hii? Hebu tupe 'uzoefu' wako katika hili na mchango wake kwako.
MAISHA NI WATU...inakukumbusha nini labda?!-
MTU si kisiwa katika kuishi kwake duniani. Anahitaji WATU; WATU wanahitaji WATU wengine kwa mashirikiano na ustawi wa dunia. Kuifanya dunia mahali salama endelevu kwa kuishi; tunahitajiana kuurithisha wema unaoendelea toka jana, mpaka leo na kesho. Hatuwasahau wale wote waliofanyika baraka kwetu jana na kwa pamoja tuna jukumu la kuundeleza wema huo, mafunzo na mawazo leo kwa faida ya kesho. MAISHA NI WATU, USIISAHAU JANA YAKO!
-
My Instinct: "I'm ready to disappoint some folks out there!"
My Brain: "But why?"
My Instinct: "Disappointment!!!"
My Brain: "Yoo Yoo! Calm down man!"
My Instinct: "Did you say, 'man down'?"-